TAARIFA ZILIZO ENEA KUWA TUNDA MAN KAIBIWA MILLION 7 NA JIMAMA SIYO KWELI


Kumekuwa na taarifa katika blogs nyingi kuwa msanii kutoka chama kubwa Tiptop Khalid Ramadhani Tunda maarufu kama Tunda man kuwa ameibiwa million 7 na jimama, taarifa hizo hazina ukweli wowote ni uzushi mtupu na inaonekana ni story iliyo tungwa ili kuharibu jina la msanii huyo kwa malengo yao binafsi.

Mashabiki wa tiptop pamoja na mashabiki wa Tunda man tunawaomba mzipuuzie tarifa hizo ni zauogo, pia natoa ombi kwa blogs zote ambazo zinaandika habari ambazo hazina ukweli ziashe, ni vizuri wakafatilia na kujua ukweli kisha waadike.

0 comments:

Copyright © 2014 TipTop Connection and Blogger Templates - John Sambila.