Showing posts with label bongo Fleva. Show all posts

Grace Matata ~ Uwe Wangu [Audio]


Track; Asali ~ Mzuri "Sikiliza na Download"

Track; Mirror ~ Baby "Sikiliza na Download"

TRACK: Dogo Aslay Ft Linah ~ Bado Mdogo

TRACK: Raymond ~ Jikatae "Sikiliza na Download"

Kama ulikuwa Bado Haujasikia Qaswida ya Tunda Man Iko Hapa

Msanii wa Bongo Fleva Tanzania Khalid Ramadhani Tunda, Maarufu kama Tunda Man Ameandaa album ya Qaswida imbayo inaitwa TUFUNGENI NA KUSWALI. Ambayo imebeba Jumla ya Nyimbo 6.
Tunda man Captain wa Bongo Fleva Tanzania Ameamua kuwakumbusha waislamu wote KUFUNGA NA KUSWALI Katika kipindi hiki cha Mwezi Mtukufu wa Ramadhani. Unaweza kusikiliza wimbo ambao umebeba jina la Album hiyo.....

Track: Malaika Ft Tunda Man ~ Usinichoshe "Sikiliza na Download"

Malaika  ndiyo mwanadada aliefanya vizuiri sana kwenye ngoma ya Chege, Uswazi takeaway na sasa hili ndiyo goma lake kafanya na Tunda pia kunasautii ya Juma Nature, imefanyika katika studio za Halirisi rec na projuza ni G- Kifaa.....Bonyezaa

Track: EXCLUSIVE HIT TUNDA MAN FT CHEGE ~ WANAONA HAYA "sikiliza na Download"

Track; Madee ~ Pombe Yangu "Sikiliza na Download"

Ujio Mpya King Crazy GK, Sikiliza na Download Track yake Mpya Hapa...

Kundi lilokuwa likifanya poa sana katika Tasnia ya Muziki wa Kizazi Kipya hapa Nchini Tanzania East Cost Team Lilokuwa likiongozwa na Amir Jeshi Mkuu King Crazy GK a.k.a Bokasa Na baadaye kuwa kimya  zaidi ya miaka 6 ,ambapo ukimya huo umemuwezesha  kumaliza degree yake katika  chuo cha Tumaini Dar es salaam, King Crazy GK  amerudi rasmi kwenye muziki wa bongofleva na kusema hii ni vita kwenye soka la muziki huu ambapo tayari ameachia single yake mpya inaitwa Baraka au laana ft Yuzo ambayo unaweza kuisikiliza hapa chini. Yako mengi aliyoyazungumza ambapo pia aliambatana na wakali wengine ambao walikuepo kitambo East Coast kama Ay na Mwana FA lakini pia mtu kama Pauline Zongo na wengine.
Copyright © 2014 TipTop Connection and Blogger Templates - John Sambila.