Ujio Mpya King Crazy GK, Sikiliza na Download Track yake Mpya Hapa...
Kundi lilokuwa likifanya poa sana katika Tasnia ya Muziki wa Kizazi Kipya hapa Nchini Tanzania East Cost Team Lilokuwa likiongozwa na Amir Jeshi Mkuu King Crazy GK a.k.a Bokasa Na baadaye kuwa kimya zaidi ya miaka 6 ,ambapo ukimya huo umemuwezesha kumaliza degree yake katika chuo cha Tumaini Dar es salaam,
King Crazy GK amerudi rasmi kwenye muziki wa bongofleva na kusema hii ni vita kwenye soka la muziki huu ambapo tayari ameachia single yake mpya inaitwa Baraka au laana ft Yuzo ambayo unaweza kuisikiliza hapa chini.
Yako mengi aliyoyazungumza ambapo pia aliambatana na wakali wengine ambao walikuepo kitambo East Coast kama Ay na Mwana FA lakini pia mtu kama Pauline Zongo na wengine.
0 comments: