Kama ulikuwa Bado Haujasikia Qaswida ya Tunda Man Iko Hapa

Msanii wa Bongo Fleva Tanzania Khalid Ramadhani Tunda, Maarufu kama Tunda Man Ameandaa album ya Qaswida imbayo inaitwa TUFUNGENI NA KUSWALI. Ambayo imebeba Jumla ya Nyimbo 6.
Tunda man Captain wa Bongo Fleva Tanzania Ameamua kuwakumbusha waislamu wote KUFUNGA NA KUSWALI Katika kipindi hiki cha Mwezi Mtukufu wa Ramadhani. Unaweza kusikiliza wimbo ambao umebeba jina la Album hiyo.....

0 comments:

Copyright © 2014 TipTop Connection and Blogger Templates - John Sambila.