Raymond Shaban jamaa kutoka Mbeya City ndiyo dini lingine katika kundi la Tiptop connection, ambaye anauwezo mkubwa wa kuimba, kuchana na Ku free style,Mlioko juu jiandaeni kumpa kijana kijiti.
Na aliwahi kushiliki katika mashindano ya Free style (serengeti fiesta 2011) na kushika nafasi ya kwanza Tanzania nzima,
|
Rymond akichana Katika mashindano ya free style (2011) |
Tayari amesharecodi ngoma nyingi tu na katika studio za A.M na MJ pia sauti yake ilisikika katika ngoma mpya ya Madee "Pombe Yangu" akiitikia "Sio mimi eeeeeh, Sio mimi eeeeh" lakini pia umemuona katika majukwaa mengi akiwa na Madee pamoja na kundi zima la Tiptop.
0 comments: