NEW VIDEO: YAMOTO BAND ~ NITAJUTA
Yamoto Band kutoka Mkubwa na wanawe, Wameachia Wimbo wao wa pili ambao unaitwa NITAJUTA, Wimbo huu umetengenezwa katika Studio zao chini ya Producer Shirko.
Yamoto Band inaundwa na Vijana wanne wenye sauti za hatari na Uwezo wa kuimba, Becka, Enock Bella, Maromboso pamoja na Aslay ambe ni kiongozi wa kundi.
0 comments: