Showing posts with label Video. Show all posts

NEW VIDEO: CHEGE NA TEMBA FEAT MAROMBOSO ~ WAUWE

NEW VIDEO: YAMOTO BAND ~ NITAJUTA

Yamoto Band kutoka Mkubwa na wanawe, Wameachia Wimbo wao wa pili ambao unaitwa NITAJUTA, Wimbo huu umetengenezwa katika Studio zao chini ya Producer Shirko. Yamoto Band inaundwa na Vijana wanne wenye sauti za hatari na Uwezo wa kuimba,  Becka, Enock Bella, Maromboso pamoja na Aslay ambe ni kiongozi wa kundi.

New Video: Ge2 ft Chege - Fanya Yako

Hii Ni kazi nyingine kutoka kwa Ge2 wa Mkubwa na wanawe, akiwa amemshirikisha Chege, Wimbo unaitwa Fanya yako, Audio Production imefanywa na Shirko na Video ni Kiumbe, Tumsaport Ndogowetu na Dada yetu aweze kutimiza maleno yake ya kujiajili kupitia muziki.....

New Video : Shilole ~ Chuna Buzi

New Video: Tunda Man Ft Ally Kiba ~ Msambinugwa


Wizkid - On Top Your Matter (Video)

Starboy Wizkid just released the visuals for his hit single, "On Top Your Matter". I've been waiting on this for a minute. The video was directed by Sesan Ogunro. Watch and enjoy!

[Exclusive Video] Joh-Makini, Nikki wa Pili & G-Nako ~ Nje ya Box

Madee ~ Tema mate Tuwachape [New Video]

Hii ndiyo kazi mpya ya Rais wa Manzese kutoka Bongo mpka kenya akakutana na jamaa wanaoitwa 
Ogopa DJS kisha kufunya Chupa hili la Tema Mate Tuwachape..
Huku mdondo ukiwa ni wa Mako Chali kutoka pale MJ..
Enjoy.

Diamond Feat Davido - Number One Remix (Official Video)


Mkasi with Bab Tale

TRACK: Raymond ~ Jikatae "Sikiliza na Download"

Copyright © 2014 TipTop Connection and Blogger Templates - John Sambila.