New Video: Ge2 ft Chege - Fanya Yako

Hii Ni kazi nyingine kutoka kwa Ge2 wa Mkubwa na wanawe, akiwa amemshirikisha Chege, Wimbo unaitwa Fanya yako, Audio Production imefanywa na Shirko na Video ni Kiumbe, Tumsaport Ndogowetu na Dada yetu aweze kutimiza maleno yake ya kujiajili kupitia muziki.....

0 comments:

Copyright © 2014 TipTop Connection and Blogger Templates - John Sambila.