AY Feat Dela - Asante [Brand New Audio]

Si vibaya, siku moja ukikaa na umpendae na kumwambia asante kwa yote alokufanyia, mko wote long time mnapendana, mnaheshimiana, hayo ni maneno ya AY yakisikika kwenye intro ya wimbo wake Brand new aliouachia leo hii.
wimbo huu nimefanya na mwanadada "Della" kutoka Kenya ambae ameshawahi kufanya collable na Sauti Souls, na ni maalum kwa wale wapendanao" amesema AY

0 comments:

Copyright © 2014 TipTop Connection and Blogger Templates - John Sambila.