Angalia picha zote za utengenezwaji wa Video ya Msambinungwa [Photos]
Captain wa bongo Fleva Tunda Mana anatarajia kuachia Video ya wimbo wake Mpya Hiv karibuni MSAMBINUGWA ambao amemshirikisha Ally Kiba, katika Chupa hili mwanadada Agnes Masogange atakuwepo kama Video Queen jipange kwa chupa hilo uone ni nn kitakuwa kimefanyaika kwa sasa enjoy na hizi picha za utengenezwaji wa video hiyo
0 comments: