Neno la Madee Baada ya kutaka kufungia Video ya Tema Mate Tuwachape

Baada ya kutaka kufungiwa kwa Chupa jipya la Rais wa Manzese MADEE "Tema Mate Tuwachape" sasa aamua kukata ukimya na kusema na kutaka kujua nia ya kufungia video hiyo ni nini hasa aman ni kipi cha Ajabu sana.
"Ukisema unaifungia Leo Ushachelewa...!! Dunia ishaona, Wekeni Taratibu kwanza Video kabla ya kwenda Hewani zipitie Sehem kwa Ukaguzi, Sio mkeo hajaipenda basi unaamka asubuhi oooh Tuifungie, Fungia kwanza Bata wako wasitoke #Tuwachape"
Alisema Mtumzma Madee, Unaweza kuiangalia video hiyo kwa Hapo chini

0 comments:

Copyright © 2014 TipTop Connection and Blogger Templates - John Sambila.