Rais kutoka Manzese ameachia Mpini wake mpya leo ambao unaitwa Ni Sheedah, Track hii imefanyika kwa Marco Chali pale MJ Rec, Madee amesema ngoma hii haina ujumbe wowote ila ni Ngoma ya Kupaty tu.
isikilize hapa kisha kama unalolote weka maoniyako kwa hapo chini....
0 comments: