Nyuma ya Camera, Tunda Man katika Movie Mpya ya TipTop Connection "Ndoa"

 Ndoa Ndiyo Movie mpya kutoka TipTop Connection ambayo inafuta baada ya zile zote ambazo umeziona
Humu ndani kuna wakali Kibao katika Movie pamoja na Captain wa Bongo Fleva Tunda Man.
Jipange kwa Mzigo huu nakuahidi n Noma sanaaa


0 comments:

Copyright © 2014 TipTop Connection and Blogger Templates - John Sambila.