Unamkumbuka Huyu Mzungu aliyekuwaga BSS Alipoimba wimbo wa Nipe Riport
yakale n Dhahabu hivyo sio Mbaya kukumbuka huyu jamaa n Mzungu na alikuwa Mshiriki wa Mashindano ya BSS ambayo hufanyika kila mwaka hapa Nchini...
Kitu ambacho kimenifanya kulikumbuka hili Ni pale alipoimba wimbo wa Nipe riport akiwa na Tunda Man katika Fainal za Mashindano hayo Ilikua poa sana Kwakweli
wewe unakumbuka Tukio Gani kuhusu huyu Mzungu..
wewe unakumbuka Tukio Gani kuhusu huyu Mzungu..
0 comments: