Madee na Shilole kudondosha Burudani Kali Mtwara Jumamosi Hii


Jumamosi hii litadondoshwa Bonge la Burudani Ndani ya Makonde Beach, Hapa Prezdaa Madee na Shakila wa Igunga Shilole,

Huku ukipata nafasi ya kuzisikiliza ngoma zao zote kali, hii siyo ya kukosa kabisa ewe mkazi wa Mtwara na Vitongoji vyote vya Mtwara

0 comments:

Copyright © 2014 TipTop Connection and Blogger Templates - John Sambila.